Jamie Vardy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamie Vardy
Maelezo binafsi
Jina kamili Jamie Richard Vardy
Tarehe ya kuzaliwa 11 Januari 1987 (1987-01-11) (umri 37)
Mahala pa kuzaliwa    Sheffied, Uingereza
Urefu 1.78 m (5 ft 10 in)
Klabu za vijana
2002- Sheffied Wednesday

2003-2007- Stock Park Steels

Klabu za ukubwani
Miaka Klabu
2007-2010- Stock Park Steels

2010-2011- Fc Hallfax Town

2011-2012- Fleetwood Town

2012- Liecester City

Timu ya taifa
Uingereza

* Magoli alioshinda

Jamie Richard Vardy (amezaliwa 11 Januari, 1987 mjini Sheffied nchini Uingereza) ni mchezaji wa kandanda wa mpira wa miguu kutoka nchini Uingereza akichezea klabu ya Leicester City inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jamie Vardy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.