Nenda kwa yaliyomo

Jamie Foxx

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamie Foxx

Eric Marlon Bishop (amezaliwa 13 Desemba 1967), anayejulikana kitaalamu kama Jamie Foxx, ni mwigizaji, mchekeshaji, mwimbaji, na mtayarishaji wa filamu wa Marekani.[1] Alipata mafanikio makubwa katika kazi yake kama mshiriki mkuu kwenye kipindi cha vichekesho vya vifupi (sketch comedy show) cha In Living Color kuanzia mwaka 1991 hadi 1994.[2]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Eric Marlon Bishop alizaliwa mnamo Desemba 13, 1967, huko Terrell, Texas, kitongoji cha jiji la Dallas.[3]

Mnamo 1989, Foxx alianza kuhudhuria usiku wa jukwaa wazi (open mic night) katika klabu ya vichekesho ya eneo hilo, baada ya kupewa changamoto na mpenzi wake. Aligundua kuwa wachekeshaji wa kike walikuwa wakiitwa kwanza mara kwa mara kutumbuiza, kwa hiyo alichagua jina la kisanii la Jamie Foxx, ambalo lilikuwa na utata wa kijinsia (halionyeshi moja kwa moja kama ni mwanaume au mwanamke) ili kuzuia upendeleo wowote.[4][5]

  1. ↑ https://www.upi.com/Entertainment_News/2021/12/13/Famous-birthdays-for-Dec-13-Steve-Buscemi-Jamie-Foxx/7841639324644/
  2. ↑ https://www.thewrap.com/the-internet-just-realized-jamie-foxx-isnt-his-real-name/
  3. ↑ https://www.tvguide.com/celebrities/jamie-foxx/3030173104/
  4. ↑ https://www.washingtonpost.com/wp-dyn/articles/A58372-2005Feb27.html
  5. ↑ https://web.archive.org/web/20110629141208/http://www.timesonline.co.uk/tol/life_and_style/article591526.ece
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jamie Foxx kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.