James Woods

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
James Woods
Woods, 1995
Woods, 1995
Jina la kuzaliwa James Howard Woods
Alizaliwa 18 Aprili, 1947 Vernal, Utah, Marekani

James Howard Woods (amezaliwa Vernal, Utah, tarehe 18 Aprili, 1947) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka Marekani.

Woods amewahi kushinda tuzo ya Oscars mara mbili na tuzo ya Emmy (Emmy Awards) mara tatu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Woods kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.