Nenda kwa yaliyomo

James Massa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

James Massa (alizaliwa 3 Septemba 1960) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani.

Tangu mwaka 2015, amekuwa akihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo la Brooklyn, New York City, na tangu 2020, amekuwa gombera wa Seminari ya Mtakatifu Joseph huko Yonkers, New York.[1]

  1. "Most Rev. James Massa, Ph.D., D.D., Auxiliary Bishop, Rector, St. Joseph's Seminary, Yonkers". Diocese of Brooklyn (kwa American English). 2015-05-20. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-05-15. Iliwekwa mnamo 2024-03-06.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.