Nenda kwa yaliyomo

James Gibbons

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

James Cardinal Gibbons (23 Julai 183424 Machi 1921) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani. Alihudumu kama Vikari wa Kitume wa North Carolina kutoka 1868 hadi 1872, Askofu wa Richmond kutoka 1872 hadi 1877, na Askofu Mkuu wa Baltimore kuanzia 1877 hadi kifo chake.[1]

Cardinal Gibbons
Nembo ya Kardinali Gibbons
Sanamu ya Kardinali Gibbons nje ya Basilica ya Baltimore
  1. ""His Eminence James Cardinal Gibbons", The Archdiocese of Baltimore". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-09. Iliwekwa mnamo 2015-07-31.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.