Nenda kwa yaliyomo

James Francis Mbatia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka James Fransis Mbatia)

James Francis Mbatia (amezaliwa 10 Juni 1964) ni mwanasiasa wa chama cha NCCR–Mageuzi nchini Tanzania na alikuwa mbunge wa kuteuliwa tangu 2012 halafu akachaguliwa kuwa mbunge wa Vunjo kwa mwaka 20152020.