Nenda kwa yaliyomo

James Francis McIntyre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

James Francis Aloysius McIntyre (25 Juni 188616 Julai 1979) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani. Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Los Angeles kutoka 1948 hadi 1970, na aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1953.

McIntyre alifanikiwa sana katika ujenzi wa parokia, makanisa, na shule mpya. Aidha, alihusika sana katika siasa za Kanisa, na sifa yake inabakia kuwa ya utata mkubwa hadi leo.[1]

  1. Miranda, Salvador. "MCINTYRE, James Francis". The Cardinals of the Holy Roman Church. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-14. Iliwekwa mnamo 2007-04-24.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.