Nenda kwa yaliyomo

James Bamford

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

James Bamford (alizaliwa 15 Septemba 1946) ni mwandishi, mwandishi wa habari na mtayarishaji wa filamu za kumbukumbu kutoka Marekani anayejulikana kwa maandishi yake kuhusu mashirika ya ujasusi ya Marekani, hasa National Security Agency (NSA).[1]

James Bamford ametajwa na gazeti la The New York Times kuwa "mwandishi mkuu wa taifa kuhusu Shirika la Usalama wa Taifa (NSA)"[2] huku jarida la The New Yorker likimtaja kama "mwandishi mkuu wa historia ya NSA".[3]

  1. ↑ Scott Shane (Oktoba 10, 2008). [(https://www.nytimes.com/2008/10/11/books/11bamford.html) "Decades on the Trail of a Shadowy Agency"]. The New York Times. Iliwekwa mnamo Machi 8, 2011. For 30 years, on a sometimes lonely hunt, James Bamford has pursued that great white whale of American intelligence, the National Security Agency. It has been a jarring ride at times. {{cite news}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ Shane, Scott (Oktoba 10, 2008). [(https://www.nytimes.com/2008/10/11/books/11bamford.html) "James Bamford and the N.S.A.: Decades of Trailing a Shadowing"]. The New York Times. ISSN 0362-4331. Iliwekwa mnamo Desemba 28, 2018. {{cite news}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. ↑ Nazaryan, Alexander (Juni 10, 2013). [(https://www.newyorker.com/books/page-turner/the-n-s-a-s-chief-chronicler) "The NSA's Chief Chronicler"]. The New Yorker. {{cite magazine}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)[dead link]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Bamford kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.