Nenda kwa yaliyomo

Jakob Missia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jakob Missia (30 Juni 183824 Machi 1902) alikuwa mchungaji wa Kanisa Katoliki kutoka Slovenia ambaye alihudumu kama Askofu Mkuu wa Gorizia na Gradisca kuanzia mwaka 1898 hadi kifo chake.

Alitawazwa kuwa kardinali mwaka 1899, akiwa ni Mslovenia wa kwanza kupatiwa cheo hicho. Kabla ya hapo, alikuwa Askofu wa Ljubljana kuanzia mwaka 1884 hadi 1898.[1]

  1. "Missia Jakob (1838 – 1902)". Dizionario Biografico dei Friulani (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 17 Januari 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.