Nenda kwa yaliyomo

Jaime Pedro Gonçalves

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jaime Pedro Gonçalves (26 Novemba 19366 Aprili 2016) alikuwa askofu mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka Msumbiji.

Alipadrishwa kuwa padre mnamo 1967, Gonçalves aliteuliwa kuwa askofu wa Dayosisi ya Beira ya Kanisa Katoliki la Roma, Msumbiji mwaka 1976 na aliteuliwa kuwa askofu mkuu mwaka 1984. Alistaafu mwaka 2012, na alifariki mwaka 2016.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.