Nenda kwa yaliyomo

Jai Singh Fani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sardar Jai Singh Fani (1941–1977) alikuwa Msikh wa kwanza kuchaguliwa katika Bunge la Afghanistan.[1] Alishinda kiti katika Uchaguzi wa Bunge wa Afghanistan wa 1969.[1]

  1. 1 2 Ghosh, Anwesha (2019). Identity and Marginality in India: Settlement Experience of Afghan Migrants. Routledge Contemporary South Asia series (kwa Kiingereza). Routledge. uk. 81. ISBN 9781138607965.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jai Singh Fani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.