Jade
Mandhari
Jade (Yu Shan) ni mlima wenye kimo cha m 3,952 juu ya usawa wa bahari.
Uko Taiwan na ndio mrefu kuliko milima yote ya kisiwa hicho na cha Asia Mashariki kwa jumla.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jade kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |