Nenda kwa yaliyomo

Jacques Fabre-Jeune

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jacques Eric Fabre-Jeune, C.S. (alizaliwa 13 Novemba 1955) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki wa asili ya Haiti na Marekani ambaye amehudumu kama Askofu wa Jimbo la Charleston, South Carolina, tangu 2022.

Fabre-Jeune ni Mmarekani Mweusi wa kwanza kuwa Askofu wa Charleston na pia ni Mmarekani wa Haiti wa kwanza kuwa mkuu wa jimbo. Tangu alivyokuwa padre kwa Scalabrinians mwaka 1986, Fabre-Jeune amefanya kazi Florida na Georgia, Jamhuri ya Dominika, na kwa muda mfupi katika kambi ya wakimbizi huko Guantanamo Bay Naval Base, Cuba.[1]

  1. (in it) Rinunce e nomine, 22.02.2022 (Press release). Holy See Press Office. 22 February 2022. https://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2022/02/22/0129/00266.html. Retrieved 23 February 2022.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.