Nenda kwa yaliyomo

Jacques Depelchin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jacques Depelchin (alizaliwa tarehe 06 Marchi 1942) ni mwanahistoria na mwanaharakati wa Kongo. Depelchin ndiye Mwanzilishi Mwenza na Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Ota Benga International Alliance for Peace nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. [1][2] [1]

  1. 1 2 "Michigan State University Press Authors Biography for Jacques Depelchin". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-06-30. Iliwekwa mnamo 2011-01-23.
  2. "AfricaFiles | "This war must end"". www.africafiles.org. Iliwekwa mnamo 2017-11-21.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacques Depelchin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.