Nenda kwa yaliyomo

Jacqueline van Maarsen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jacqueline Yvonne Meta van Maarsen (30 Januari 192913 Februari 2025) alikuwa mwandishi wa vitabu na mfundaji wa vitabu kutoka Uholanzi. Alijulikana zaidi kwa urafiki wake na mwandishi wa diary Anne Frank. Mama yake Mkristo alifanikiwa kuondoa alama za J (Yahudi) kwenye vitambulisho vya familia (baba wa van Maarsen alikuwa Myahudi) wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, hivyo kusaidia familia ya van Maarsen kuepuka Wajerumani. [1][2][3][4][5]

{{reflist}}

  1. My Name Is Anne, She Said, Anne Frank- a memoir book by Jacqueline van Maarsen
  2. "Samuel "Hijman" van Maarsen". geni_family_tree (kwa American English). 17 Machi 1884. Iliwekwa mnamo 21 Januari 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. The Diary of a Young Girl: The Definitive Edition, edited by Mirjam Pressler, and translated by Susan Massotty
  4. Tikkanen, Amy (2024-03-01). "Diary of a Young Girl | Anne Frank, History, & Facts | Britannica". Encyclopedia Britannica (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-03-17. Iliwekwa mnamo 2024-03-17.
  5. "Klasgenoot en vriendin Anne Frank op 96-jarige leeftijd overleden | Binnenland | Telegraaf.nl". De Telegraaf (kwa Kiholanzi). 2025-02-14. Iliwekwa mnamo 2025-02-14.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacqueline van Maarsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.