Jacobus Duivenvoorde
Mandhari
Jacobus Duivenvoorde (15 Novemba 1928 – 16 Novemba 2011) alikuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Merauke, Indonesia.[1]
Alipadrishwa mwaka 1954 na baadaye akateuliwa kuwa askofu mwaka 1972. Alihudumu hadi alipostaafu mwaka 2004.
Alifariki dunia tarehe 16 Novemba 2011 akiwa na umri wa miaka 83.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jacobus Duienvoorde Archived Novemba 17, 2011, at the Wayback Machine
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |