Nenda kwa yaliyomo

Jacob Juel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jacob Juel (1744 – 21 Aprili 1800) alikuwa mfanyabiashara wa mbao na mtumishi wa umma wa Norway.

Alizaliwa mjini Christiania akiwa mtoto wa mfanyabiashara wa mbao na mtumishi wa umma Hans Juel na Else Sophie Dorothea Rasch. Alikuwa ndugu wa Maren Juel.

Mwaka 1774 aliteuliwa kushika cheo cha Zahlkasserer. Pia alikuwa na umiliki wa mashamba makubwa na karakana ya meli (shipyard). Mwaka 1784 alikamatwa kufuatia upungufu wa fedha wa kiasi cha 556,000 Rdlr, lakini baadaye alifanikiwa kutoroka na akaishi uhamishoni nchini Sweden hadi mwisho wa maisha yake.[1][2][3]

  1. ↑ Rian, Øystein. [(http://snl.no/.nbl_biografi/Jacob_Juel/utdypning) "Jacob Juel"]. Katika Helle, Knut (mhr.). Norsk biografisk leksikon (kwa Norwegian). Oslo: Kunnskapsforlaget. Iliwekwa mnamo 19 Novemba 2012. {{cite encyclopedia}}: Check |url= value (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. ↑ Mardal, Magnus A. [(http://snl.no/Jacob_Juel) "Jacob Juel"]. Katika Godal, Anne Marit (mhr.). Store norske leksikon (kwa Norwegian). Oslo: Norsk nettleksikon. Iliwekwa mnamo 19 Novemba 2012. {{cite encyclopedia}}: Check |url= value (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. ↑ Daae, Ludvig (1891). Det gamle Christiania 1624–1814 (kwa Norwegian) (tol. la 2). Christiania: Cappelen. ku. 224–230.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacob Juel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.