Jackie Aygemang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jackie Aygemang

Jackie Agyemang (jina lake la ukoo ni Appiah, alizaliwa 5 Desemba 1983) ni mwigizaji kutoka Ghana. Amewahi kuchaguliwa mara mbili kwa tuzo la mwigazaji bora wa kike katika uhusika na mwigizaji chipukuzi bora katika tuzo la Afrika Kisasa Academy Awards la mwaka 2008. [1]

Maisha Yake ya Utotoni[hariri | hariri chanzo]

Agyemang alizaliwa Kanada na ndiye kitinda mimba katika familia ya watoto watano. Maisha yake ya utotoni aliishi Kanada, na alihamia Ghana pamoja na wazazi wake mwaka 1993.[2] Yeye ni Ikijulikana Maiden yake yake kwa jina, Appiah.Anatambulika zaidi kwa jina lake la ukoo la Appiah. Agyemang aliolewa mwaka 2005 na ana mwana mmoja.

Uigizaji[hariri | hariri chanzo]

Agyemang alianza kuonekama kweneye filamu nyingi wakati alipoalikwa na Edward Seddoh Junior mwandishi wa Things We dDo For Love alipoigiza nafasi ya Enyonam Blagogee. Baadaye alishiriki kwenye mchezo wa kuigiza wa Tentacles, Games People Play na vipindi vingi vya Televisheni.

Bado Agyemang anakumba kuwa alikuwa ma hofu mara ya kwanza alipotokea kwenye maigizo, "Ilikuwa ni filamu ya kampuni ya Venus Production iliyoitwa Divine Love na alipaswa kumuigiza muhusika Kate, muhusika mkuu. Sina imani kama niliigiza vizuri. Nilisitasita lakini watu wengi hawakugundua hilo." Licha ya woga wake kama kama muigizaji wa mara wa kwanza alifaulu katika kumfurahisha kila mtu.

Agyemang anasema kuwa sehemu aliyoigiza vizuri zaidi ni katika Mummy's Daughter na kampuni ya Venus Films. Filamu inaeleza hadithi ya familia ya Bartels ambapo aliigiza nafasi kamabinti wa m falme. "Ninapenda jinsi nilivyoigiza na nilifurahishwa na muhusika niliyeigiza ". Kwa sasa Agyemang anaona filamu za nyumbani kama zilizoboreka. Ombi lake ni kuwa wengine waone mafanikio ya baadaye.

Uso wa Agyemang unaonekana kwenye mabango mengi na matangazo ya kibiashara kwenye runinga za Ghana ikiwa ni pamoja na tangazo la GSMF tangazo kuhusu kujikinga na VVU/UKIMWI, alishinda sura ya U.B kwenye tangazo ambalo ambalo aliwafanyia kwenye matangazo ya runinga na kwa sasa ndiye sura ya kampuni ya mtangazo ya kibiashara na mabango ya IPMC. "GSMF" ndilo lilikuwa tangazo lake la kibiashara kwenye runinga.

Filamu[hariri | hariri chanzo]

 • Divine Love
 • Deadly Assignment
 • Golden Stool
 • Mummy's Daughter
 • Beyonce - The President daughter
 • Tears of womanhood
 • Love Doctor
 • Fake Feelings
 • Princess Tyra
 • Run Baby Run
 • Passion of the soul
 • Pretty queen
 • Total Love
 • Mortal desire
 • I Hate Women
 • The Perfect Picture
 • Her Excellence
 • Spirit of a dancer
 • The princes's bride
 • the king is mine
 • The heart of men

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Africa Movie Academy Awards’ nominees take a bow in Josies. Iliwekwa mnamo 2009-10-23.
 2. Cite error: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named bio

Viungo-wavuti[hariri | hariri chanzo]