Nenda kwa yaliyomo

Jack Ulrich

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jack Ulrich, 1912.

John Daniel "Jack, Silent" Ulrich (18 Machi 1890 - 23 Oktoba 1927) alikuwa mchezaji wa hoki ya barafu wa nchini Kanada. Alikuwa kiziwi na bubu ,[1]alicheza mchezo huo na Mamilionea mbali mbali wa Vancouver na Aristocrats katika Jumuiya ya mchezo wa hoki, Pwani ya Pasifiki mnamo 1912-1914. Alichezea pia Montreal Wanderers na Toronto Blueshirts kwenye Chama cha Kitaifa cha Hoki mnamo 1914-1916..[2]

Katika mchezo wa hoki Ulrich alijulikana kwa jina la utani "Silent", au "Silent Jack".[3]

  1. "Only one deaf mute in "pro" hockey world" Winnipeg Tribune. April 10, 1913 (p. 6). Retrieved 2020-08-02.
  2. Jack Ulrich at JustSportsStats
  3. "Silent John Ulrich Pinch Goal Getter" Toronto World, March 17, 1914.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jack Ulrich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.