Jack Rocha
Mandhari
Jackeline Oliveira Rocha, anayejulikana zaidi kisiasa kama Jack Rocha (alizaliwa 26 Agosti 1983), ni mwanasiasa wa Brazil kutoka chama cha Workers' Party PT. Anafanya kazi kama Mbunge wa Shirikisho (federal deputy) akiwakilisha jimbo la Espírito Santo tangu mwaka 2023.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Jack Rocha – Biografia" (kwa Kireno). Chamber of Deputies.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jack Rocha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |