Jack Beaumont (mpigamakasia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jack Beaumont
Jack Beaumont

Jack Beaumont (alizaliwa 21 Novemba 1993) ni mpiga makasia wa Uingereza.

Alishiriki mchuano wa kiume wa watu wanne katika Olimpiki ya msimu wa joto 2016[1]. Alishinda medali ya fedha katika mashindano ya ubingwa wa kupiga makasia duniani 2017 ndani ya Sarasota, Florida, akiwa mmojawapo wa watu wane, wengine wakiwa Jonathan Walton, John Collins na Graeme Thomas [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Olympic". web.archive.org. 2016-08-06. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-06. Iliwekwa mnamo 2021-11-27. 
  2. "Wayback Machine". web.archive.org. 2017-10-01. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-01. Iliwekwa mnamo 2021-11-27. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jack Beaumont (mpigamakasia) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.