Nenda kwa yaliyomo

J. Nozipo Maraire

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
J. Nozipo Maraire
Amezaliwa1964
UtaifaZimbabwe
Kazi yakedaktari na mwandishi

J. Nozipo Maraire (alizaliwa 1964) ni mjasiriamali na mwandishi kutoka Zimbabwe. Ndiye mwandishi wa riwaya Zenzele: A Letter for My Daughter.[1]Riwaya hiyo ilichapishwa mwaka 1996, ikatajwa na gazeti la The New York Times kama Kitabu Bora cha Mwaka, na pia kikauzwa sana katika jarida la The Boston Globe[2]. Kitabu hiki kimechapishwa na kutafsiriwa kwa lugha zaidi ya kumi na nne.

  1. Tales Out of Africa (Published 1996) (kwa Kiingereza), 1996-03-03, iliwekwa mnamo 2025-10-25
  2. https://web.archive.org/web/20071010070418/http://yalemedicine.yale.edu/ym_su99/nozipo/nozipo1.html
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu J. Nozipo Maraire kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.