J. D. 'Okhai Ojeikere
Mandhari
Johnson Donatus Aihumekeokhai Ojeikere (alijulikana kama J.D. 'Okhai Ojeikere; 10 Juni 1930 - 2 Februari 2014) alikuwa mpiga picha wa Nigeria aliyejulikana kwa kazi yake ya mitindo ya kipekee ya nywele iliyopatikana Nigeria.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "JD 'Okhai Ojeikere: Nigeria's top photographer dies". BBC News Online. 4 Februari 2014. Iliwekwa mnamo 4 Februari 2014.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu J. D. 'Okhai Ojeikere kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |