Nenda kwa yaliyomo

József Mindszenty

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kardinali Mindszenty wakati wa hotuba tarehe 1 Novemba 1956
Ubalozi wa Marekani mjini Budapest
József Mindszenty mwanzoni mwa miaka ya 1960

József Mindszenty (29 Machi 18926 Mei 1975) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki na Askofu Mkuu wa Esztergom na kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Hungaria kuanzia 1945 hadi 1973.

Kulingana na Encyclopedia Britannica, kwa miongo mitano, "alikuwa ni mfano wa upinzani usio na kikomo dhidi ya ufashisti na ukomunisti nchini Hungaria."[1]

  1. Sister M. Pascalina Lehnert (2014), His Humble Servant: Sister M. Pascalina Lehnert's Memoirs of Her Years of Service to Eugenio Pacelli, Pope Pius XII, St. Augustine's Press. p. 150.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.