Nenda kwa yaliyomo

Jerome Nday Kanyangu Lukundwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jérôme Nday Kanyangu Lukundwe (192913 Juni 2011) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki wa Jimbo Katoliki la Kongolo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Alipata upadrisho mwaka 1962 na aliteuliwa kuwa askofu wa Dayosisi ya Kongolo mwaka 1971. Alihama wadhifa huo na kujiuzulu mwaka 2007.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.