Jérôme-Michel-Francis Martin
Mandhari
Jérôme-Michel-Francis Martin OFMCap (10 Juni 1941 – 4 Desemba 2009) alikuwa askofu wa Jimbo la Kanisa Katoliki la Berbérati, Jamhuri ya Afrika ya Kati.[1]
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Jérôme Martin alijiunga na Shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini na kuweka nadhiri zake tarehe 26 Juni, 1966, akitawazwa kuwa kasisi tarehe 29 Juni, 1967.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Brown, William Francis (1862–1951), Roman Catholic bishop. Oxford Dictionary of National Biography. Oxford University Press. 2004-09-23.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |