János Csernoch
Mandhari
János Csernoch S.T.D. (18 Juni 1852 – 25 Julai 1927) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki na Askofu Mkuu wa Esztergom pamoja na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini Hungaria.[1]

Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "János Cardinal Csernoch [Catholic-Hierarchy]". www.catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 2025-01-14.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |