Nenda kwa yaliyomo

Ivor Broadis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ivan Arthur "Ivor" Broadis (18 Desemba 1922 – 12 Aprili 2019) alikuwa mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu wa Uingereza.

Katika kazi ya soka iliyodumu kwa miaka 19 kuanzia 1942 hadi 1961, Broadis alichezea klabu za Carlisle United, Sunderland, Manchester City, Newcastle United na Queen of the South. Aliichezea pia timu ya taifa ya Uingereza mara 14 na kufunga mabao manane katika ngazi ya kimataifa.

Broadis alicheza nafasi ya mshambuliaji wa ndani. Baada ya kustaafu kucheza mwaka 1961, alihamia katika taaluma ya uandishi wa habari za soka.[1]

  1. ↑ ["QosFC): Legends – Ivor Broadis". Iliwekwa mnamo 22 Machi 2017. {{cite web}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ivor Broadis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.