Nenda kwa yaliyomo

Ivania Moreira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ivânia Tavares Moreira (alizaliwa 13 Mei 1993) ni mchezaji wa soka kutoka Cape Verde anayekipiga katika nafasi ya mshambuliaji kwa klabu ya Amora inayoshiriki Campeonato Nacional II Divisão Feminino, pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Cape Verde.[1][2]

  1. ""Quando estou em campo sinto que sou a Ivânia de verdade"". balai.cv.
  2. "Ivania Moreira - Inforpress article". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Novemba 2023. Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ivania Moreira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.