Nenda kwa yaliyomo

Ivan Devčić

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ivan Devčić (alizaliwa 1 Januari 1948) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Kroatia na profesa wa falsafa katika chuo kikuu.

Alikuwa askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Rijeka kuanzia mwaka 2000 hadi 2022.[1]

  1. "Verbum | Ivan Devčić". Verbum.hr. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-03-07.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.