Ivan Choma
Mandhari
Ivan Choma (27 Novemba 1923 – 3 Februari 2006) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina na mtaalamu wa historia ya kanisa nchini Italia. Alikuwa askofu wa Patara na kuanzia tarehe 22 Februari 1996 hadi kifo chake tarehe 3 Februari 2006, alikuwa Mwakilishi wa Mkuu wa Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina kwa Ukulu Mtakatifu.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Die Apostolische Nachfolge". site of the German CSSp Province. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Septemba 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link).
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |