Itifaki ya Biblia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Itifaki ya Biblia ni Kitabu chenye orodha ya maneno ya maandishi ya [[Biblia].

Kitabu cha namna hiyo katika Kiswahili kimetolewa mwaka 1990 na Central Tanganyika Press) ikiwa na orodha ya maneno ya Biblia na madondoo yake. Ni chombo muhimu cha utafiti wa misamiati yake.

Books-aj.svg aj ashton 01.svg Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Itifaki ya Biblia kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.