Nenda kwa yaliyomo

Ite missa est

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shemasi akiimba "Ite missa est" ili kuruhusu waamini kuondoka mwishoni mwa Misa ya fahari kadiri ya liturujia ya Trento.
Namna mojawapo ya kuimba "Ite missa est".

Ite missa est ni kauli ya mwisho ya Misa inayoadhimishwa kwa lugha ya Kilatini. Inatumika walau tangu karne ya 6 au ya 7[1], ikiimbwa au kutamkwa na shemasi, la sivyo na padri. Kwa maneno hayo waamini wanaruhusiwa kutawanyika kisha kujibu "Deo gratias" ("Asante kwa Mungu")[2].

Tafsiri ya kauli hiyo inajadiliwa sana tangu muda mrefu[3] , hasa neno "missa", kama linamaanisha ibada yenyewe (kuwa imekwisha)[4] , ruhusa ya kutawanyika [5][6][7] au utume wa kufanywa baada ya kuruhusiwa kuondoka[8].

Wakati wa Pasaka kauli na jibu lake vinaongezewa maneno "alleluia, alleluia"[9].

  1. "It is our formula of the old dismissal (apolysis) still contained in all liturgies. It is undoubtedly one of the most ancient Roman formulæ, as may be seen from its archaic and difficult form. All the three oldest Roman Ordines contain it." Fortescue (1910).
  2. "When the prayer [Post-Communion] is over, that one of the deacons appointed by the archdeacon looks towards the pontiff to receive a sign from him and then says to the people: Ite missa est. They answer: Deo gratias" (Ordo I, ed. Atchley, London, 1905, p. 144).
  3. De vocabuli origine variæ sunt Scriptorum sententiæ. Hanc enim quidam, ut idem Baronius, ab Hebræo Missah, id est, oblatio, arcessunt : alii a mittendo, quod nos mittat ad Deum, ut est apud Alcuinum de Divinis offic. Honorium Augustod. lib. 1. cap. 2. Rupertum lib. 2. cap. 23. etc. Du Cange, et al., Glossarium mediae et infimae latinitatis, éd. augm., Niort : L. Favre, 1883‑1887, t. 5, col. 412b, s.v. 4. missa Ilihifadhiwa 4 Julai 2026 kwenye Wayback Machine..
  4. "Durandus (Rationale, IV, 57) suggests several interpretations. It has been thought that a word is omitted: Ite, missa est finita; or est is taken absolutely, as meaning 'exists, is now an accomplished fact'". Fortescue (1910).
  5. so Friedrich Diez, Etymologisches Wörterbuch der roman. Sprachen (1887), p. 212, cited by Fortescue (1910).
  6. "It is a substantive of a late form for missio. There are many parallels in medieval Latin, collecta, ingressa, confessa, accessa, ascensa — all for forms in -io. It does not mean an offering (mittere, in the sense of handing over to God), but the dismissal of the people, as in the versicle 'Ite missa est' (Go, the dismissal is made)." Fortescue, A. (1910). Liturgy of the Mass. In The Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company.
  7. Anscar J. Chupungco, Handbook for Liturgical Studies: The Eucharist, Volume 3 of Handbook for Liturgical Studies, Liturgical Press, 1999, p. 3.
  8. (Pope Benedict XVI, Sacramentum caritatis, 51)
  9. Roman Gradual 1974 edition, pages 195, 256.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ite missa est kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.