Issaka Souna
Mandhari
Issaka Souna (amezaliwa 1954) ni mwanasiasa wa Niger.[1]
Tangu 10 Novemba 2014, amehudumu kama Naibu Mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Uangalizi wa Uchaguzi nchini Burundi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Secretary-General Appoints Issaka Souna of Niger as Deputy Head of United Nations Electoral Observation Mission in Burundi | Meetings Coverage and Press Releases". www.un.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2026-05-28.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Issaka Souna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |