Isparta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:54, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q171031 (translate me))

Isparta ni jina la mji uliopo magharibi mwa nchi ya Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkaoa wa Isparta. Takriban watu 250,000 wanaishi mjini hapa. Mji upo mita 1035 kutoka juu ya usawa wa bahari. Jina lingine la mji ni "Mji wa Miuaridi". Katika majina ya Kituruki cha kale, hayakuanza na SP, hivyo yalianza na "I" kama jinsi ilivyowekwa kwa mbele wakati wa kutamka "Sparta", na sasa inaandikwa na kutamkwa kama "Isparta".

Tazama pia

Viungo vya Nje

Wikisource ina maelezo kamili yahusianayo na makala hii:

Kigezo:Miji ya Utruki

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Isparta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.