Ismail Ba
Mandhari
Ismail Ba (alizaliwa tarehe 22 mwezi wa 5 mwaka 1974) ni mchezaji wa zamani wa soka kutoka senegal aliyekuwa akicheza nafasi ya kiungo. Akicheza katika klabu za Ugiriki, Skoda Xanthi na Aris pamoja na klabu za Kupro kama AEK Larnaca, Omonia, AEP Paphos na Atromitos Yeroskipou.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Benjamin Strack-Zimmermann. "Ismaël Ba (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2026-02-05.