Ismail Ali Abokor
Mandhari
Ismail Ali Abokor (Kisomali: Ismaaciil Cali Abokor) alikuwa mwanasiasa na Meja Jenerali wa Somalia.[1]
Alikuwa mwanachama mwandamizi wa Baraza la Mapinduzi (Supreme Revolutionary Council) na pia alihudumu kama Makamu wa Rais wa Somalia katika kipindi cha Siad Barre kati ya 1971 na 1982. Pia aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Watu kuanzia 1979 hadi 1982.
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Alizaliwa mwaka 1937 mjini Burao (sasa Somaliland). Baada ya elimu ya sekondari, alisoma mafunzo ya kijeshi nchini Uingereza na kuhitimu katika Royal Military Academy Sandhurst.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Reuters; Times, Special to the New York (1988-02-09), "8 Somalis Sentenced to Die; Charge Is Plotting Sabotage", The New York Times (kwa American English), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2026-05-22
{{citation}}:|last=has generic name (help)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ismail Ali Abokor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |