Ismael Gushein
Mandhari
El Hadj Ismael Mohamed Gassim Gushein alikuwa mwanasiasa wa Guinea. Alikuwa Katibu Mkuu wa chama cha Democratic Party of Guinea-African Democratic Rally (PDG-RDA) na alikiongoza chama hicho tangu kilipoanzishwa tena mwaka 1992.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Liste des députés élus au scrutin départemental". www.assemblee-nationale.gn.refer.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-01-06. Iliwekwa mnamo 2026-05-07.
- ↑ "comission2". www.assemblee-nationale.gn.refer.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2001-12-29. Iliwekwa mnamo 2026-05-07.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ismael Gushein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |