Nenda kwa yaliyomo

Isidor Isaac Rabi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Isidor Isaac Rabi

Isidor Isaac Rabi (29 Julai 189811 Januari 1988) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sifa za atomu. Mwaka wa 1944 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isidor Isaac Rabi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.