Nenda kwa yaliyomo

Ishboshethi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kifo cha Ish-bosheth.

Ish-bosheth (kwa Kiebrania: אִישׁ־בֹּשֶׁת, ʼĪš-bōšeṯ, "mtu wa aibu"; pia: Eshbaal, Ishbaal, kwa Kiebrania: אֶשְׁבַּעַל, ’Ešba‘al, "mtu wa Baali"; aliishi karne ya 11 KK) alikuwa mwana wa Mfalme Sauli ambaye alimrithi na kutawala miaka miwili huku akiendelea kupigana vita na mfalme mpinzani, Daudi.[1]

Hatimaye aliuawa na kapteni wake wawili, Baana and Rekabu, waliotarajia kufadhiliwa na Daudi kwa uuaji huo.

Habari zake zinapatikana hasa katika vitabu vya Samweli.

  • Bright, John (2000). A History of Israel. Westminster John Knox Press. ISBN 978-0-664-22068-6.
  • Garfinkel, Yosef; Ganor, Saar; Hasel, Michael G. (2018). In the Footsteps of King David: Revelations from an Ancient Biblical City. Thames & Hudson. ISBN 9780500774281.
  • Margalith, Othniel (1994). The Sea Peoples in the Bible. Otto Harrassowitz Verlag. ISBN 978-3-447-03516-3.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ishboshethi kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.