Isaya Yunge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Isaya Yunge
Amezaliwa23 Machi 1990 (1990-03-23) (umri 34)
Tanzania
Kazi yakeMjasiriamali wa mtandao


Isaya Yunge (alizaliwa 23 Machi 1990) ni mjasiriamali wa kimtandao na Mtanzania wa kwanza kijana aliyepata nafasi ya kuwa mzungumzaji katika mkutano wa G8 2007 Summit. Mwaka 2018 alikuwa miongoni mwa watanzania watano waliopata tuzo ya Queen's Young Leader Award kwa kutambuliwa mchango wake kupitia kazi ubunifu wa APP ya mtandaoni ya SomaApps[1] ambayo imesaidia zaidi ya watu 7000[2] kuendelea na masomo yao kwa njia ya mtandao.[3][4] Yunge ni muanzilishi wa SomaApps ambayo inawesaidia vijana kupata fursa za ufadhili wa kimasomo nje ya nchi.[5][6]

Mwaka 2007 alichaguliwa na shirika na shirika la umoja wa mataifa la haki za haki za watoto UNICEF kuwa balozi wa shirika hilo, [7]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. THE QUEEN'S YOUNG LEADERS (2018). Isaya Yunge.
  2. BBC, SWAHILI (2018-06-08). Isaya Yunge: Kijana Mtanzania anayetarajiwa kufanikiwa sana katika teknolojia.
  3. Using app to quench thirst for knowledge (en).
  4. History Hero BLAST (en-US). Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-02-25. Iliwekwa mnamo 2022-02-25.
  5. database-control (2020-04-07). Meet Isaya Yunge – CEO SomaApps Technologies (en-US).
  6. TEDxOysterbay | TED.
  7. database-control (2020-04-07). Meet Isaya Yunge – CEO SomaApps Technologies (en-US).
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isaya Yunge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.