Nenda kwa yaliyomo

Isatou Touray

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Isatou Touray (alizaliwa 17 Machi 1955) ni mwanasiasa, mzalendo wa kijamii, na mabadilishaji wa kijamii wa Gambia. Pia ni mwanaharakati mashuhuri wa kupinga ukeketaji wa wanawake (FGM). Touray alikuwa mgombea wa kwanza mwanamke wa urais wa Gambia mwaka 2016, kabla ya kujiondoa na kumpa sapoti Adama Barrow na Coalition 2016.

Baada ya uchaguzi, alihudumu katika serikali ya Barrow kama waziri wa biashara, kisha waziri wa afya. Mnamo 15 Machi 2019, Touray aliteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Gambia, akichukua nafasi ya mtangulizi wake, Ousainou Darboe, katika mabadiliko makubwa ya baraza la mawaziri.[1]

  1. Taylor, Mildred Europa (16 Machi 2019). "Kiongozi wa Gambia Adama Barrow amemchukua mwanamke kama Makamu wa Rais". Face2FaceAfrica. Iliwekwa mnamo 18 Machi 2019.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isatou Touray kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.