Isatou Jallow
Mandhari
Isatou Jallow (alizaliwa tarehe 10 Oktoba 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake kutoka nchini Gambia anayekipiga katika timu ya taifa ya wanawake ya Gambia (ngazi ya wakubwa). Awali aliwakilisha Gambia katika timu za vijana kabla ya kupandishwa hadi timu ya taifa ya wakubwa.[1]
Katika ngazi ya klabu, anachezea Rivers Angels katika Ligi Kuu ya Wanawake ya Nigeria. Kabla ya kujiunga na Rivers Angels, aliwahi kuchezea klabu ya F.C. Ramat HaSharon nchini Israel.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Isatou Jallow". EuroSports. Iliwekwa mnamo 2019-07-08.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Isatou Jallow kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |