Isaka Mdalmatia
Mandhari

Isaka Mdalmatia (kwa Kigiriki Ἰσαάκιος au Ἰσάκιος, Isaakios ai Isakios; kwa Kiingereza Isaac of Dalmatia; alifariki 30 Mei 383) alikuwa mkaapweke aliyedhulumiwa na serikali kwa kupinga Uario, halafu mmonaki aliyeanzisha monasteri mjini Konstantinopoli [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Venerable Isaac the Founder of the Dalmatian Monastery at Constantinople Orthodox icon and synaxarion (May 30)
- Isaac, Dalmatus and Faustus, ascetics of the Dalmatian Monastery (August 3)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |