Isabelle Axelsson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Isabelle Axelsson (amezaliwa 2000/2001)[1] ni mwanaharakati wa hali ya hewa kutoka Stockholm, Uswidi.[2][3]

Axelsson amekuwa mwanaharakati na mratibu wa Fridays for Future Sweden tangu Desemba 2018.[4][5] Mwisho wa Januari 2020, alihudhuria Mkutano wa Uchumi Ulimwenguni World Economic Forum huko Davos pamoja na wanaharakati wengine wa hali ya hewa, ambao ni Greta Thunberg, Luisa Neubauer, Loukina Tille na Vanessa Nakate.[6][7]

Alikuwa mchangiaji wa kitabu kilichoitwa Gemeinsam für die Zukunft - Fridays For Future und Scientists For Future: Vom Stockholmer Schulstreik zur weltweiten Klimabewegung. Katika kitabu hicho, alichangia maelezo kutoka ndani ya Fridays for Future, kumpa msomaji mtazamo kutoka kwa mtu ndani ya Fridays for Future.[8]

Axelsson ana tawahudi.[9]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isabelle Axelsson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]