Nenda kwa yaliyomo

Isabellah Andersson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Isabellah Andersson

Isabellah Andersson (alizaliwa Isabellah Moraa Amoro tarehe 12 Novemba 1980) ni mwanariadha wa mbio ndefu wa asili ya Kenya anayewakilisha Sweden. Anaishi Vilshult, Sweden, na tangu Mei 2009 amekuwa raia wa Sweden. Anashindana kwa klabu ya Hässelby SK.[1]

  1. "Gebrselassie Prevails For Third Time in Dubai Marathon". Letsrun.com. 22 Januari 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isabellah Andersson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.