Nenda kwa yaliyomo

Isabel Getty

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Isabel Getty (alizaliwa 11 Novemba, 1993) ni mwimbaji, msanii wa picha, na mratibu wa kazi za sanaa kutoka Uingereza na Marekani. Yeye ni mwimbaji mkuu wa bendi ya rock ya **Jean Marlow** yenye makazi yake London.[1][2]

  1. "Isabel Getty: 'Some people bring a prejudice about meeting me. It's just my family'". Telegraph. 24 Mei 2024. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Money-Coutts, Sophia (28 Septemba 2016). "Meet Isabel Getty!". Tatler. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isabel Getty kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.