Irene Sanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Irene sanga)

Irene Sanga ni mmojawapo kati ya wasanii wa muziki nchini Tanzania aliyefahamika kwa utunzi wa wimbo wake uiitwao_ "Salamu kwa Mjomba" uliyoimbwa na Mrisho Mpoto[1]

Maisha yake ya sanaa[hariri | hariri chanzo]

Amekuwa na vipaji mbalimbali katika saanaa kama uchezaji, uandishi , uimbaji, mwandishi wa maishairi,na msimuliaji wa hadithi .Amewahi kutengeneza filamu ambayo inaeleza asili ya mlima unayopatika Mkoa wa Morogoro, mlima huo unaitwa Kolelo hivyo basi aliipatia jina ya hiyo filamu kama Kolelo. Pia anakipaji cha uandishi ameandika kipindi maalumu cha watoto katika runinga kiitwacho kilimani Sesame pia katika uandishi wa filamu kuna filamu iitwayo Chaguo ambayo ndiye yeye aliyeiandika: ilikuwa inahusu kuchagua mpenzi mmoja katika mahusiano kwa kujikinga katika maambukizo ya virusi vya ugonjwa wa UKIMWI.

Mafunzo[hariri | hariri chanzo]

Amekuwa akihudhuria mafunzo ya muziki ndani na nje ya Tanzania kama KIFF (KENYA)’’ na ZIFF (ZANZIBAR)’’[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://globalpublishers.co.tz/irene-sanga-si
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-20. Iliwekwa mnamo 2018-09-09. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Irene Sanga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.