Irene Naa Torshie Addo
Mandhari
Irene Naa Torshie Addo (alizaliwa Osu, Accra, 30 Septemba 1970) ni mwanasiasa na mwanasheria wa Ghana, aliyekuwa Waziri Msaidizi wa Mambo ya Nje na pia Mbunge wa Jimbo la Tema Magharibi.[1]
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Yeye ni mwanasheria kwa taaluma na alipata shahada ya Uzamili (LLM) katika Masuala ya Jinsia na Maendeleo kutoka University of Warwick mnamo 1999.[2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ghana MPs - MP Details - Addo, Naa Torshie Irene". GhanaMps. Iliwekwa mnamo 2017-02-25.
- ↑ "Irene Naa Torshie Addo, Hon". GhanaWeb. Iliwekwa mnamo 2016-09-05.
- ↑ "Ms. Irene Naa Torshie Addo, Ghana – The Parliamentary Network" (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2024-03-11.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Irene Naa Torshie Addo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |