Nenda kwa yaliyomo

Irene Cara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Irene Cara Escalera (alizaliwa 18 Machi, 1959) alikuwa mwimbaji, mchezaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Marekani.[1][2]

  1. Baugh, Scott L. (2012). "Irene Cara 1959-". Latino American Cinema: An Encyclopedia of Movies, Stars, Concepts, and Trends. Abc-Clio. ISBN 9780313380365. Iliwekwa mnamo Machi 6, 2020.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. McCann, Bob (2010). Encyclopedia of Hispanic American Actresses in Film and Television. McFarland & Company. uk. 67. ISBN 978-0-7864-3790-0.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Irene Cara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.